KIBAKlubo Internacia de Bao Amantojinaandaa mashindano ya kwanza ya mabingwa ya Bao ya mkondoniMashindano ya Bao yana michuano minne.Mshindi wa mchuano wa mwisho wa Mabingwa baina ya wachezaji utakuwa Bingwa wa KIBA, BK.Mwishoni mwa Mashindano haya itakuwepo msimamo wa nchi.Wanaojiunga wote wa www.kibao.org wanaruhusiwa kushiriki bure kila mashindano. Mashindano ya wachezaji.Wachezahi wataingia msimamo kulingana na vigezo vifuatavyo:
Mchuano wa mwisho wa MabingwaWachezaji sita wa kwanza katika msimamo wa michuano minne ya kwanza wataingina mchuano wa mwisho wa Mabingwa.Wachezaji hawa watacheza katika kundi moja tu. Wachezaji wasili wa kwanza katika msimamo wa kundi watacheza mchezo wa fainali wa mashindano. Mshindi atakuwa Bingwa wa KIBA, BK. Mashindano ya Nchi.Mwishoni mwa kila mchuano utakuwepo msimamo wa nchi.Nchi itaingia msimamo huu kama wachezaji wa nchi hii watazidi wawili. Kila nchi itapata jumla ya pointi nne wa kwanza. Mchuano wa NchiNchi mbili za kwanza za msimamo zitaingia mchuano wa Nchi.Wachezaji tatu wa kwanza wa kila nchi wataingia mchuano wa fainali. Kila mchezaji atacheza na wapinzani tatu wote. Nchi inapata pointi 1 mchezaji mmoja wake anapofunga mchezo mmoja. Nchi itakayopata pointi zaidi kuliko nchi nyingine itakuwa Nchi Bingwa. Tarehe za michuanoMchuano wa kwanza utaanza mwanzoni mwa Mei 2013.Mchuano wa pili utaanza mwanzoni mwa Septemba 2013. Mchuano wa tatu utaanza mwanzoni mwa Novemba 2013. Mchuano wa nne utaanza mwanzoni mwa Januari 2014. Mchuano wa Mabingwa, utaanza mwanzoni mwa Marzo 2014. Tanbihi.
|