Italiano English

 KIBA

Klubo Internacia de Bao Amantoj

inaandaa mashindano ya kwanza ya mabingwa ya  Bao ya mkondoni

 

Mashindano ya Bao yana michuano minne.

Mshindi wa mchuano wa  mwisho wa Mabingwa baina ya wachezaji utakuwa Bingwa wa KIBA, BK.

Mwishoni mwa Mashindano haya itakuwepo msimamo wa nchi.


Wanaojiunga wote wa www.kibao.org wanaruhusiwa kushiriki bure kila mashindano.


Mashindano ya wachezaji.

Wachezahi wataingia msimamo kulingana na vigezo vifuatavyo:
  1. Mchezaji anapofunga mchezo mmoja wa michuano ya kuingia anapata  pointi 1.
  2. Mchezaji anapofunga mchezo mmoja wa michuano ya nusufainali anapata  pointi 2.
  3. Mchezaji anapofunga mchezo mmoja wa michuano ya fainali anapata  pointi 3.
  4. Mshindi wa mashindano anapata pointi 4.

Mchuano wa mwisho wa Mabingwa

Wachezaji sita wa kwanza katika msimamo wa michuano  minne ya kwanza wataingina mchuano wa mwisho wa Mabingwa.
Wachezaji hawa watacheza katika kundi moja tu.
Wachezaji wasili wa kwanza katika msimamo wa kundi watacheza mchezo wa fainali wa mashindano.
Mshindi atakuwa Bingwa wa KIBA, BK.

Mashindano ya Nchi.

Mwishoni mwa kila mchuano utakuwepo msimamo wa nchi.
Nchi itaingia msimamo huu kama wachezaji wa nchi hii watazidi wawili.
Kila nchi itapata jumla ya pointi nne wa kwanza.

Mchuano wa Nchi

Nchi mbili za kwanza za msimamo zitaingia mchuano wa Nchi.
Wachezaji tatu wa kwanza wa kila nchi wataingia mchuano wa fainali.
Kila mchezaji atacheza na wapinzani tatu wote.
Nchi inapata pointi 1 mchezaji mmoja wake anapofunga mchezo mmoja. Nchi itakayopata pointi zaidi kuliko nchi nyingine itakuwa Nchi Bingwa.


Tarehe za michuano

Mchuano wa kwanza utaanza mwanzoni mwa Mei 2013.
Mchuano wa pili utaanza mwanzoni mwa Septemba 2013.
Mchuano wa tatu  utaanza mwanzoni mwa Novemba 2013.
Mchuano wa nne  utaanza mwanzoni mwa Januari 2014.

Mchuano wa Mabingwa,  utaanza mwanzoni mwa Marzo 2014.Tanbihi.

  1. KIBA inamiliki haki ya kubadili kanuni hii wakati wa mashindano.
  2. Kwa masuala mengine tazama kanuni ya mashindano ya mkondoni ya KIBA.